21 March 2012

Rais Jakaya Kikwete akipeana mkono na Mwenyekiti wa Chama cha Ushirika wa Kuweka Akiba cha Bandarini SACCOS Limited, Bi. Stella Mtayabarwa alipotembelea banda la maonesho la chama hicho, wakati wa maadhimisho ya Siku ya Ushirika Duniani, Dar es Salaam jana. (Picha na Charles Lucas)

No comments:

Post a Comment