01 February 2012

Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii, Dkt. Hadji Mponda (kushoto), akizungumza na baadhi ya madaktari toka vikosi vya Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ), Dar es Salaam jana, walipofika kwenye Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH), ili kutoa huduma kwa wagonjwa kufuatia mgomo wa madaktari unaoendelea nchini. (Picha na Rajabu Mhamila)

No comments:

Post a Comment