13 February 2012

Wachezaji wa Yanga wakishangilia mara baada ya Davis Mwape (wa pili kushoto) kufunga bao pekee dhidi ya Ruvu Shooting wakati wa mechi ya Ligi Kuu Bara iliyochezwa kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam jana.Yanga ilishinda bao 1-0.( Picha na Michael Machellah)

No comments:

Post a Comment