Mhandisi Mkuu wa Kampuni inayojenga daraja la Kigamboni,
CRJE, Zhou Zejun akifafanua jambo kabla ya kukabidhiwa
rasmi ujenzi wa daraja hilo na Shirika la Taifa la Hifadhi
ya Jamii (NSSF) katika eneo la mradi Kurasini jijini Dar
es Salaam jana. Wa tatu kulia ni Meneja Miradi wa Shirika
la Hifadhi ya Jamii (NSSF) Mhandisi, John Msemo.
No comments:
Post a Comment