01 February 2012

Msajili wa Vyama vya Siasa Nchini Jaji Mstaafu John Tendwa (kushoto), akimkabidhi Mwenyekiti wa Chama cha Kijamii (CCK), Bw. Constantine Akitanda, hati ya kudumu ya usajili wa chama hicho, Dar es Salaam jana. (Picha na Prona Mumwi)

No comments:

Post a Comment