Mkuu wa wilaya ya Kisarawe, Bi. Hanifa Karamagi akikagua gwaride na Mgambo wapya wa wilaya ya Kisarawe, walipomaliza mafunzo yao ya miezi sita na kutunukiwa vyeti kwenye viwanja vya kikosi cha 191 cha Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ), Ksarawe juzi. (Picha na Peter Mwenda)
No comments:
Post a Comment