Madaktari wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) wakiangalia maiti iliyoletwa ili kuhifadhiwa kwenye Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH), Dar es salaam jana, Serikali imeagiza madaktari wa vikosi vya majeshi ya ulinzi na usalama kuhudumia wagonjwa ili kuziba pengo la madaktari waliogoma. (Picha na Rajabu Mhamila)
No comments:
Post a Comment