13 February 2012

JK
Mwenyekiti wa CCM, Rais Jakaya Kikwete, akiwa na viongozi wa chama hicho, kutoka kushoto Rais Mstaafu wa awamu ya Pili Alhaj Ali Hassan Mwinyi, Rais wa Zanzibar
Dkt Mohamed Ali Shein, Makamu Mwenyekiti wa CCM (Visiwani) na Rais Mstaafu
 wa Zanzibar Dkt Amani Abeid Karume, Katibu Mkuu wa CCM Bw. Wilson Mkama na Makamu Mwenyekiti (Bara), Bw. Pius Msekwa, kabla ya kuanza mkutano wa Halmashauri Kuu, kwenye jengo la White House, Makao Makuu ya chama hicho Dodoma jana. (Picha na Ikulu)

2 comments:

  1. Ulinzi wa kuwepo askari(tena amevaa unifomu) mgongoni kwa rais hata akiwa mkutanoni hauna maana na unamdharirisha askari wetu. Nashangaa hata ma-rais wenyewe hawajatoa maoni yao kuhusu ulinzi huu ambao umepitwa na wakati.Au ni aina ya kuonyesha Umaarufu wao tu!! Nadhani nyuma ya rais hasa akiwa mkutanoni amekaa, ni ukuta tu.Je kuna hatari ya kuangukiwa na ukuta!! Ni nchi za kiafrika tu zinakuwa na ulinzi wa kijinga kama huu!! Ufutwe.

    ReplyDelete
  2. Kwa Maandishi Makubwa VIGOGO wa CCM Wanaliambia Taifa: "....BILA CCM NCHI YETU ITAYUMBA..." Hiki ni kiapo cha kusema kwamba "HATUONDOKI" katika madalaka na Utawala tuliouzoea. Meza hii ya Chakula ni ya CCM na siyo mtu mwingine yeyote.Wanawauzia wananchi "woga" ili waendelee kula.

    ReplyDelete