| Wasanii wa Kikundi cha Ngoma za Asili cha Dakawa, wakicheza ngoma ya mapigano ya Bugobogobo, wakati wa maadhimisho ya Siku ya Mariadhiano ya Taifa la Afrika ya Kusini, iliyofanyika kwenye Kambi ya wapigania Uhuru wa nchi hiyo mjini Dakawa, Morogoro mwishoni mwa wiki. |
No comments:
Post a Comment