15 December 2011


Naibu Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi Bw. Philipo Mulugo, akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani), Dar es Salaam jana, kuhusu matokeo ya mtihani wa Darasa la Saba, Mwaka 2011. Kulia ni Naibu Katibu Mkuu wa wizara hiyo Bw.Selestine Gesimba.

No comments:

Post a Comment