11 November 2011

Rais Jakaya Kikwete akizungumza na Balozi wa Shirikisho la Urusi (Russian Federation) Bw. Alexandra Alexandrovich Rannikh (kushoto), baada ya kukutana nae Ikulu Dar es salaam jana. Katikati ni mkalimani Bw. Nikita Rassokhin. (Picha na Ikulu)

No comments:

Post a Comment