11 November 2011

Ofisa Mtendaji Mkuu Benki ya NMB Bw. Mark Wiessing (wa tatu kushoto), akizungumza na Mkurugenzi Mkuu wa Dawasco Bw. Jackson Midala (kulia), baada ya kuzindua huduma ya malipo ya kodi kwa simu ya mkononi Dar es Salaam jana. Wa pili kulia ni Kamishia Mkuu TRA Bw. Harry Kitilya, Abdulmajid Nsekela na Meneja Uendeshaji wa DSTV Bw. Romald Shelukindo. (Picha na Nyakasagani Masenza)

No comments:

Post a Comment