Pamoja na Manispaa ya Ilala kuwazuia wananchi kutoa msaada wa omba omba, ama huyu mkazi wa Jiji la Dar es Salaam asiye na ulemavu wa aina yoyote, akikwepa kupigwa picha jana, alipokutwa akiwatuma watoto aliowakumbatia kuomba fedha kwenye magari kando ya Barabara ya Moorogoro. (Picha na Nyakasagani Masenza)
Hii inabidi iwe hivyo sababu erikali badala yakutumia fedha kusaidia wananchi wasio na kazi hutmia fedha hizo kufanya sherehe zisizo maana hali mwananchi wa kawada hujui ataishi vp ndio inatokea hayo
ReplyDelete