Naibu Mkurugenzi wa Habari, Uenezi na Haki za Binadamu wa Chama Cha Wananchi (CUF) na Mbunge wa Viti Maalum Tanga Bi. Amina Mwidau (kulia), akimjulia hali Mbunge mwenzake wa viti maalum Dodoma Bi. Moza Abeid (CUF), aliyelazwa Hospitali ya Taifa Muhimbili, Dar es Salaam jana. (Picha na Nyakasagani Masenza
Napenda kuuliza hospitali ya muhimbili ivyo vitanda shuka kwa ajili ya viongozi pekee ina mana raia wakawaida hafai kupewa kitanda na shuka kama mgonjwa na ulizza hivi maana imenitokea my dad alilazwa hapo cku mbili yuko chini hakuna shuka wala kitanda wala dawa hakupata akaamua kutoroka hospital kurudi nyumbani akisema bora kufia mnumbani kulikon hapa na mangineyo mengi lakini ni lile lile vitanda ni kwa waheshimwa pekee fanyeni kazi kwa awadilifu huo ndio utu
ReplyDelete