03 November 2011

Hawa ni wapiga debe wa Boti ziendazo Visiwani Zanzibar wakiwa wameizunguka Bajaj iliyobeba abiria ili kuwashawishi kusafiri kwa boti wanazoziwakilisha kama walivyokutwa na kamera yetu eneo la Bandari, Dar es Salaam jana. (Charles Lucas).

No comments:

Post a Comment