09 November 2011

Mkuu wa Mawasiliano ya Umma wa Bodi ya Utalii Tanzania, (TTB) Bw. Geofrey Tengeneza (kulia) na Mkurugenzi wa Mawasiliano  Airtel Bi. Beatrice Singano wakionesha kwa waandishi wa habari Dar es Salaam jana, namba 15771 itakayotumika kuupigia kura Mlima Kilimanjaro uwe moja ya maajabu saba ya dunia bila malipo. (Picha na Charles Lucas).

No comments:

Post a Comment