Mtoto wa Malkia wa Uingereza Prince Charles akikagua gwaride maalum lililoandaliwa na Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ), Dar es Salaam jana, ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya miaka 50 ya Uhuru wa Tanzania Bara na kuonesha jinsi vikosi vya Tanzania vinavyoshiriki kulinda amani katika nchi mbalimbali duniani. (Picha na Vincent Tiganya - MAELEZO)
No comments:
Post a Comment