Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Dkt. Wilbroad Silaa akizungumza na Karani wa Mahakama Kuu Kanda ya Arusha, Bi. Anna Msofe jana, baada ya kesi yao ya kufanya mkusanyiko kwenye viwanja vya NMC kinyume cha Sheria hivi karibuni kuhairishwa. |
Chunga sana huyo aliyevagaa mgololo ni aina ya Ghadafi. MADIKTETA HUWA NI WATU WA VITUKO. NAKUMBUKA MAVAZI YA GHADAFI NA VITENDO VYAKE
ReplyDelete