mawasiliano
Makala
Uchumi na Biashara
Michezo na Burudani
Habari Mikoani
Mwanzo
21 September 2011
.................................................
Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, Bw. Abbas Kandoro akitoa agizo kwa wafanyabishara wa Soko la SIDO, Mbeya lililoteketea kwa moto wiki iliyopita alipowatembelea jana. Alipiga marufuku ujenzi holela katika soko hilo ili kuepusha janga kama hilo kutokea tena.
No comments:
Post a Comment
Newer Post
Older Post
Home
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment