Mkurugenzi wa Mahusiano wa Kampuni ya bia ya Serengeti, Bi. Teddy Mapunda akiwaonesha waandishi wa habari Dar es Salaam jana moja ya mfano wa fomu ya maombi kwa ajili ya ufadhili wa masomo ya elimu ya juu kwa mwaka 2011 kupitia EABL Foundation. Kushoto ni Meneja Mahusiano ya Jamii, Bi. Nandi Mwiyombella. |
No comments:
Post a Comment