Aliyekuwa Mkurugenzi wa Utawala na Utumishi wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT), Bw. Amatus Liyumba (katikati) akiwa ndani ya Mahakama ya Hahimu Mkazi Kisutu Dar es Salaam jana akisubiri kusomewa shtaka la madai ya kuwa na kitu kisichoruhusiwa gerezani ambacho ni simu ya mkononi. |
No comments:
Post a Comment