28 September 2011

.................................................

Mbunge wa Kibiti, Bw. Abdul Malombwa akizungumza kwenye Mahafali ya Shule ya Sekondari Msafiri iliyoko Wilayani Rufiji juzi. Wengine ni Mwenyekiti wa Bodi ya shule, Bw. Salum Pazi (wa pili kushoto), Diwani wa Kata ya Bungu, Bw. Ramadhan Mkwaya na Mkuu wa Shule ya Sekondari Ruaruke, Bw. Amani Ngozi.

No comments:

Post a Comment