28 September 2011

.................................................

Mkurugenzi wa Benki ya Taifa ya Biashara (NBC) Bw. Lawrence Mafuru (kushoto) akikabidhi funguo za gari la wagonjwa la NBC Mobile Kliniki (Ambulance) kwa Waziri wa Afya na Ustawi wa jamii Dkt. Haji Mponda Dar es Salaam jana kwa ajili ya Jumuiya ya Bodi za Afya Jijini.

No comments:

Post a Comment