21 September 2011

.................................................

Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, Bw. Abbas Kandoro akitoa agizo  kwa wafanyabishara wa Soko la SIDO, Mbeya lililoteketea kwa moto wiki iliyopita alipowatembelea jana. Alipiga marufuku ujenzi holela katika soko hilo ili kuepusha janga kama hilo kutokea tena.

1 comment:

  1. Hongera Mkuu wa Mkoa Mbeya Kandoro sasa kavalishwa mavazi na sura ya Kamanda Kova

    ReplyDelete