26 September 2011

.................................................

Rais wa Zanzibar na mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt. Ali Mohamed Shein, akizungumza na wananchi wa Kizimkazi Dimbani wakati alipofika kuangalia hatua za majaribio ya tanki la maji safi na salama katika kijiji hicho juzi.

No comments:

Post a Comment