26 September 2011

.................................................

Askari wa Usalama barabarani aliyejitambulisha kuwa Koplo Mfaume Maondo wa Kituo cha Mafinga Wilaya ya Mufindi, akiwavusha barabara wanafunzi wa Shule ya Upendo wilayani hapo juzi. Kwa mujibu wa askari huyo, utaratibu huo ni endelevu katika Wilayani hapo kutokana na kutokea kwa ajali nyingi za wanafunzi kugongwa katika eneo hilo na kusababisha vifo.

No comments:

Post a Comment