Waziri wa Fedha na Uchumi Bw. Mustafa Mkulo (kushoto) na Mwakilishi Mkazi wa Benki ya Maendeleo ya Afrika (ADB), Bi. Tonia Kandiero wakibadilishana hati za mikataba miwili ya msaada wa fedha sh. Bilioni 200 Dar es Salaam jana. Fedha hizo zimetolewa na benki hiyo kwa ajili ya kuimarisha Miundombinu, Mafunzo na Kilimo Kwanza. |
No comments:
Post a Comment