16 September 2011

.......................................................

Mwenyekiti wa Kamati ya Maadili ya Baraza la Habari Tanzania (MCT), Jaji Thomas Mihayo akikata utepe kuzindua rasmi ripoti ya maadili kwa vyombo vya habari, Dar es Salaam jana. Kushoto ni Mwandishi, Mtafiti na Meneja wa Kumbukumbu wa Baraza hilo Bw. John Mireny.

No comments:

Post a Comment