23 September 2011

.................................................

Ofisa wa Vodacom Foundation, Bi. Grace Lyon akimkabidhi  Kamanda wa Kikosi cha Usalama barabarani nchini, Kamishna Msaidizi Mwandamizi,Bw. Mohamed Mpinga baadhi ya alama za usalama barabarani kwa wenye ulemavu vyenye thamani ya sh. milioni 3.5 jijini Dar es Salaam jana. Katikati ni Mwenyekiti wa Kamati ya Usalama barabarani ambaye pia ndiye mbunifu wa alama hizo, Bw. Jutoram Kabatele.

No comments:

Post a Comment