Mkuu wa Wilaya ya Mbozi, Bw. Gabriel Kimollo akizungumza katika kikao cha madiwani wa Halmashauri hiyo hivi karibuni kujadili taarifa ya Mkaguzi na Mdhibiti Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG).Kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, Bw. John Mwakipesile na Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Mbozi, Bw. Levison Chillewa. |
No comments:
Post a Comment