29 September 2011

.................................................

Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii, Dkt. Hadji Hussein Mponda (katikati) akioneshwa na Meneja Maabara ya Uchunguzi wa Dawa na Vipodozi wa Mamlaka ya Chakula na Dawa (TFDA), Bw. Yohan Hebron (kulia) jinsi tovuti ya mamlaka hiyo inavyoonekana wakati alipokwenda kutoa tamko la kutambuliwa kwa maabara ya mamlaka hiyo na Shirika la Afya Duniani (WHO)

No comments:

Post a Comment