16 September 2011

.......................................................

Mwenyekiti wa Mpango wa Maendeleo Vijijini Bw. Jerry Nyabululu, akizungumza na Waandishi wa Habari Dar es Salaam jana, wakati akiitaka serikali kuanzisha Mamlaka ya kuratibu na kusimamia elimu nchini. Kushoto ni Mjumbe wa mpango huo Bw. Peter Kikula.

No comments:

Post a Comment