21 September 2011

.................................................

Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii, Bw.  Gilbart Mliga akimkabidhi Kaimu Mganga Mkuu wa Morogoro, Bw. Godfrey Mrema; ufunguo wa gari namba DFP 8143 litakalotumika kwa ajili ya usimamizi wa huduma za kudhibiti ugonjwa wa malaria nchini.

No comments:

Post a Comment