Makamu wa Rais Dkt. Mohamed Gharib Bilal, akikata utepe kuzindua rasmi jengo la Mihadhara la Chuo cha Ualimu Tanzania (DUCE) na Harambee ya kuchangia ujenzi wa Maabala ya Sekondari ya Chang'ombe, Dar es Salaam jana. Kulia ni Mkuu wa Chuo hicho Profesa Salome Misana na Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu Kishiriki cha Dar es Salaam Profesa Yunus Mgaya. |
No comments:
Post a Comment