28 September 2011

.................................................

Msanii maarufu nchini wa Reggae, Jhiko Man akitumbuiza katika moja ya matamasha hivi karibuni, ambaye anatarajia kutumbuiza kwenye tamasha la sanaa la 30, linaloandaliwa na Chuo Cha Sanaa Bagamoyo ambapo vikundi 20 kutoka Japan, Finland, Ufaransa na vingine vya nchini ambalo litahitimishwa Oktoba Mosi mwaka huu.

No comments:

Post a Comment