27 September 2011

.................................................

Mke wa Rais na Mwenyekiti wa Taasisi ya WAMA, Mama Salma Kikwete (kulia) akimpongeza Mwanzilishi wa JOHA TRUST na Mwenyekiti wa Shule ya Sekondari ya Mfano Barbro Johansson, Prof. Anna Tibaijuka wakati wa Mahafali ya Tisa ya Kidato cha IV na Mahafali ya Sita ya Kidato cha VI shuleni hapo juzi.

No comments:

Post a Comment