28 September 2011

.................................................

Mlemavu wa miguu akiwa juu ya Baiskeli yake kando ya Barabara ya Uhuru, Dar es Salaam jana, wakati akibadilishana fedha na mfanyabiashara wa chenji. Mlemavu huyo alibadili fedha zake kutoka za shaba na kupewa noti.

No comments:

Post a Comment