26 September 2011

.................................................

Lori namba T996 AZG lenye trela namba T785 AXU likiwa limeacha njia baada ya kushindwa kupanda mlima katika eneo la Changarawe nje kidogo ya Mji wa Mafinga wilayani Mufindi katika barabara kuu ya Iringa na Mbeya juzi. Hakuna aliyejeruhiwa katika ajali hiyo.

No comments:

Post a Comment