19 September 2011

.......................................................

Wachezaji wa Azam FC, wakishangilia bao lililofungwa na mshambuliaji John Bocco kwenye mechi ya Ligi Kuu Tanzania Bara iliyochezwa Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam jana. Yanga ilifungwa bao 1-0.

No comments:

Post a Comment