Ongezeko la Gharama za vyombo vya usafirishaji, umewafanya aadhi ya wakazi wa Jiji la Dar es Salaam kutumia Pikipiki za magurudumu matatu (Bajaj), kusafirisha mizigo yao, Kama abiria huyu anayesafiri pamoja na magunia ya viazi mviringo, kwenye Barabara ya Jamhuri Dar es Salaam jana. |
mwandishi acha kuchemka!!!unaona kabisa pikipiki iyo inaitwa Toyo wewe unaita bajaji wapi na wapi!!!
ReplyDelete