23 September 2011

.................................................

Baadhi ya wakazi wa Kata ya Majohe Gongolamboto wakiwa katika foleni Dar es Salaam jana ya uhakiki ili kupokea malipo ya fidia  ya thamani za ndani na matengenezo ya nyumba zilizoathirika na milipuko ya mabomu iliyotokea kwenye Kambi ya Jeshi la Wananchi (JWTZ)  mwezi Februari mwaka huu.

No comments:

Post a Comment