14 September 2011

.......................................................

Naibu Waziri wa Kazi na Ajira Dkt. Makongoro Mahanga akikata utepe kuzinduzi Kikundi cha Wajasiliamali wa Benki ya Wananchi Vijijini (VICOBA) Utu Mwema cha Tabata Dar es Salaam juzi. Kushoto ni Mwenyekiti wa kikundi hicho Bi. Magreth Machumu na Mratibu Mtendaji wa VICOBA nchini Bw. Aldo Mfinde.

No comments:

Post a Comment