13 September 2011

.......................................................

Waziri wa Afya wa Zanzibar, Bw. Juma Haji Duni (kushoto) akipokea misaada ya kibinadamu iliyotolewa mjini Unguja mwishoni mwa wiki na Benki ya NBC kwa waathirika wa ajali ya Meli ya MV Spice Islander. Katikati ni Mshauri wa Mambo ya Habari wa NBC,Bw. Redemptus Masanja na Ofisa Uhusiano wa benki hiyo, Bi. Eddie Mhina.

No comments:

Post a Comment