07 November 2013

TRA KUFANYA KAZI KIUWAZI, KIUWAJIBIKAJI



 Na Mariam Mziwanda
  Kufuatia maadhimishoyawiki ya m lipakodi nchi ni, Mamla ka yaMapato Tanzania(TRA)imew aelezaw ananchi kuwaita endele akufanyaka zizake k wauwazina uwajibik ajiili kupan ua wigow ahudum akw ajamiinakuwez aku jengatai fala walipak odikwahiyari
. Hayo yalis emw a janajijini Dar es Salaa mkatika maonyes hoy amlipakodikw enyeviwanjavy aM nazi Mmoja na ofisa elimu na huduma kwa mlipa kodi TRA Bw.Sigsimund Kafuru na kusisitiza kuwa lengo la kuwa karibu na wananchi ni kuwawezesha kutambua utendaji wa TRA katika huduma za ulipaji kodi.
Alisema katika maonyesho hayo ikiwa ni wiki ya mlipa kodi nchini TRA imenufaika na kutambua michango ya wadau mbalimbali.
"Hakuna taifa linaloweza kuendelea pasipo walipa kodi kwa kutambua hali hiyo TRA kupitia maonyesho haya tumekuwa karibu zaidi na wananchi na tumefanikiwa kupata michango yao ikiwemo maoni, mawazo na ushauri lakini pia tumeweza kutoa elimu kwa kundi kubwa la wananchi hatua ambayo wengi wao imewaondoa woga juu ya utendaji wa kazi zetu ambazo zinahitaji ushirikiano," alisema.
  Alieleza kupitia maonyesho hayo pia wamewawezesha wananchi kujua ulipaji wa viwango vya kodi, utaratibu wa bidhaa sambamba na mfumo wa matumizi ya ulipaji kodi kwa njia ya mashine za electronic, ulipaji wa kodi wa leseni za magari kwa njia ya mtandao na huduma za benki.
   Bw. Kafuru alisema lengo la TRA kurahisisha zaidi huduma zake ni kuona kila mwananchi anafikiwa katika ulipaji wa kodi kwa unafuu hivyo ametoa wito kwa jamii kuwa wazalendo kwa kuhakikisha wanakuwa miongoni mwa watoa risiti na wadai risiti ili kuweza kuongeza pato la taifa kwa mustakabali wa maendeleo nchini.

No comments:

Post a Comment