03 September 2013

UTAPELI UBUNGO:POLISI WAHAMISHWA VITUO  •  RPC ALIPONGEZA MAJIRA KUWAFICHUA MATAPELI

Na Waandishi Wetu
SIKU chache baada ya gazeti la Majira kuandika habari iliyofichua uhalifu mkubwa uliokuwa ukifanyika kwa abiria kwenye Kituo cha Mabasi yaendayo mikoani Ubungo, Dar es Salaam (UBT), baadhi ya askari polisi wa Kituo cha Polisi Ubungo, wamehamishwa vituo vyao vya kazi
.Akizungumza na Majira Dar es Salaam jana, Kamanda wa Mkoa wa Kipolisi Kinondoni, ACP Camilius Wambura, amekiri askari hao kuhamishwa vituo vya kazi na kudai huo ni utaratibu wa kawaida unaofanywa na jeshi hilo mara kwa mara.
Wakati Kamanda Wambura akitoa ufafanuzi huo, baadhi ya askari polisi wa kituo hicho, walihusishwa na vitendo hivyo kwa mujibu wa habari zilizoandikwa na gazeti hili.Katika matoleo yaliyopita, Majira lilizungumza na baadhi ya viongozi wanaosimamia kituo hicho na Chama cha Wamiliki wa Mabasi yaendayo Mikoani (TABOA), ambao walisema baadhi ya askari polisi wa kituo hicho, wapo karibu na mtandao wa matapeli hao.
Viongozi hao walishauri askari hao, wahamishwe vituo vya kazi na kufanya operesheni endelevu ili mtandao husi usipate nafasi ya kuendelea kuwatapeli abiria wanaotoka mikoa ya mbali kama Kigoma, Kagera na nchi jirani za Uganda, Kenya, Malawi na Bunjumbura.
KamandaWambu raali sema, operesheni n dani yaki tuohichoita endelea na kulipongeza gazeti laMajirakw akaziku bwanan zuriwaliyofan yaku fichu amtan dao huo.
"Nawapo ng ezaMajira kwakazi nzuri,ilikuim arishau linzi katikakituohik i,Jeshi l a Polisi litashir ikiana naTA BOA,u ongozi waUBTna wananchi ilikukomesha uhal ifuuliokuwaukifanyika kw aabiri a,"alisem a.
Baadhiy aab iriakit uonihapo ambaowalizungumza naMajira, walisem a ulinzi katikakitu o hichoumeima rishwatofauti naawali ambapobasi l ilikuwalik iingiakulikuwana makundi ya w atuwaliokuw awakiyavamiana kuwaka mataabiri a.
Kwaupa ndewao, TABOA wa mesem awa potayari kush irikiana najeshihi loku komeshauhalifundan iyaki tuohichoili kuondoakerok ubw ailiy okuwa ikiwakabili abiria.Akizungumza na Majira, KatibuMkuu wa TABOA, EneaMrutu alise ma waohaw anat atizoj uuya hilonak wam bawapo tayar iku toaushirikianao na jeshi hilo mchana na usiku.

No comments:

Post a Comment