TAASIS
IyaSektaBinafsi (TPSF)i mew ataka vijananchiniwametakiwakuwa wabuni fu na
kutumia fursazakibi ashara ziliz op oili ku kuzakipatochaonata ifakwaujumla,anaripoti
Mwa ndishi We tu.
U shaurihuoume
tolewanaMweny ekiti waTaasisi yaSekta Binafs i(TPSF), Re ginaldMengi,m
wishonimwaw ikijij ini Dares Salaa mwak atiwahafla yakumkabidhituz
oyaheshimaMwenyekiti naM ku rugenzi Mt endajiMkuuw aKampuni yaHelvet ic Sola
rCo ntractorsLTD , P atrick Ngowi, kama
njiayakutambua mafanikioaliyoyapat akatika biasha ra.
"Vijanaw
anawajibuwa kutumiavipaj i vyaonaeli mukujiende lezakibia sha raili wa wezeku
kuakibiasharanakusai diataifa kuboresha ustawiwajamii ," alisema.
Ali se makijana
aliyetunuk iwatuzohiyoamewezaku fani kiwa kibiashara akiwa na umri wa miaka 28,
hivyo vijana wengine wanatakiwa kuiga mfano huo.
Alisema taifa
linategemea vijana hivyo wanatakiwa kujituma ili waweze kuwa wafanyabiashara
wakubwa na matajiri wasaidie jamii inayowazunguka.
Mkurugenzi
Mtendaji wa TPSF, Godfrey Simbeye, a l i s ema k i j a n a h u y o amefanikiwa
kupitia biashara ya ukandarasi wa kutumia teknolojia ya nishati ya jua (Solar
Power contractor) kusambaza umeme.
"Kijana
huyu kwa sasa anamiliki makampuni mbalimbali ya kusambaza na kutumia nishati ya
jua katika nchi tatu za Afrika Mashariki," alisema.
Alisema makampuni hayo yamejumuishwa kundi la kampuni za Helvetic Group
of Companies lenye jumla ya mapato ya mamilioni ya dola.
No comments:
Post a Comment