16 September 2013

TANZANIA YACHAFULIWA MALAWI



Na Rachel Balama
TANZANIA imekanusha habari zilizoandikwa na gazeti moja nchini Malawi "Malawi News" na kudai raia wa Malawi waishio nchini Tanzania, wanaishi kwa wasiwasi mkubwa wakihofia hali ya hatari kutokana na ubaguzi unaofanywa na Watanzania

 Akiz ung um zana waandishiwahabariDaresSala amjana, Msem aji wa Serikalina Mkuruge nzi waIdara yaHabari Maelezo,Bw. A ssahMwam bene, alisema habarihiyohainaukweliwowotek wani ha kuna raiawa M alaw i aliyedhal ilishwa, kuba kwawalakufanyiwavitendovyovyote v yaukat ili.
Alisemaha barihiyo imelenga kuidhalilish aTanzaniaam bapoSeptemba1 4, mwak ahuu, walik amatw awah amiaji h aramu 1,030tokanc hiniMalawiambaohawakuwekwandani ba dala y akewalihojiwa, k upewafomuili kuhalalishaukaaziwao.
"Habari i liyoand ikwana gazeti hilihaiwezi ku vumilikaha ta kidogo, Ser ikali yaTanzani ahaiwezikufanan ishwanavitendovyaubaguzivilivyo kuw a vikifan ywa nchini Afrik aKusini.
"Tayariw ahamiaji 25,000 kutokanc hi za Burund i, R wanda, Ugand a,ZimbabwenaCongoDR C,walikamatwakatikaM ikoa yaKig oma, Mbeya, Rukwa ,Geitanakwingine koambap owote wa lirudishwama kwao,"al isemaBw, Mwambe ne.
Aliongezakuwa, operesheni yakuwak amatanakuwarudishama kwaowaham ia ji wanaoishi nchinibilavibalisi ku toka Mala wi pekee, ina tekelez wakutokananaagizoa lilot oaRais Jakay aKikwete baada yaku toawikim bili zakuwataka wa ond okekwahiariyao.
Septemba14,mwa ka h uu, ga zetihiloliliandika habariinayosema"Wa malawi nchini Tanzania wanaish i kwakuj ificha kutokananahali yahatari nahadis asa, mmo ja waoamebak wa wakili nganisha matu kio hayonau baguziuliokuwaukifanyikaAfrikaKusini".
Bw. Mwa mbene amelitaka gazeti hilokus ahihisha t aarifa yake na kuom baradhi kwaupotoshajih uokwan i habarihiyo ni sawa na matusi kwaTanzani a.

No comments:

Post a Comment