Na Grace Ndossa
SER
IK ALI imewahak ikishi awawekezaji kuwaitaendel eakuwekamazingiraborayak
ufanyabiashara na u wekezaji kamachachuyakuvutiazaidi uwekez ajinchiniili
kuongezakasi yama endele ona ukuaji wauchum i.
K aulihiyo imetolewa naKat ibuMk uuO fisiyaWa
ziriMk uu,Dk t.Flor ens Tur uka,wakati a kizu ngumzanawaa ndishiwahabari
mwishoni mw awiki
."Serikalii meboresha mazingi rayau
wekez aji kwa kuwekaser a n asheriaambazozinatoafu rsakwawawek ezaji kufany
ashu ghu li zaobilavikwazo vyovyotenchini," alisemaD kt.Turuka .
AlibainishakuwaSeri kali imeidhinisha
mpa ngowamaboresh o w amazing irawezeshiyabi asharana uwekeza jiun a
oainishakatika maeneo1 0yanayo lengatar atibuzakisera,kisherianazakiutaw al a
zinazozingati wa nawafanyabiashara na wa wekezaji.
Dkt.Turuka alis ema, kuanzia
mwaka2003hadisasaSerika li imefanyamabo reshombalimbali yakiwem oya taas isi
zake kufanyaka zikwaubunifunaushirikianoili kuleta tija na ufanisi zaid i.
A lito lea mfano Bandari
yaDaresSalaamakisemahudum a z otezau kaguzi wa uborawabid haa
kutokanjeyanchizinafan yikabandarini na zinah usishamam laka zotemuhimu.
Alitolea mfano shughuli zaMa mlaka
yaChakulana Da wa(TFDA) , Shirika laViw ango Tanz ania(TBS) namamlakanyi
nginezinafa nyi kiaba nda rinihapoikiwanimo jayamik akati ambayoseri kali
imechu kuakubore shamazingiraya kufany abiashara .
Piaa lisemamuda wa kusaji ri
kampuninakupata vibalimbalimbal i hu tolewakwamudamfup isa naikilin ganishw a
nasi kuza hapo nyum a.
"Vituovya ukaguzi wa mizigobarab
ar anivimepunguzwa kutoka50hadi 15ilikurah isishausafi rish aji wa bi
dhaazinazo endanjeyanc hi,"alisem aDkt .Turukanakuo ngezaku wa,serikali
itaendeleak uchuk uahat ua mbalimbal izenyelen golakuboresh azaidimazingira ya
kufanyabi ashar a.
Alisema mifumo ya ulipaji kodi
inafanyika kwa njia rahisi za kieletroniki katika malipo ya kodi mbalimbali kwa
kutumia simu za mkononi ili kupunguza gharama na usumbufu kwa wafanyabiashara
kupata huduma zote za TRA.
Pamoja na Tanzania kufanya maboresho
hayo, mashirika kimataifa ikiwemo Shirika la Kimataifa la Maendeleo ya Biashara
(UNCTAD), Kongamano la Uchumi Duniani (WEF) na Benki ya Dunia (WB) yanasema
Tanzania inahitaji kuboresha zaidi mazingira ya biashara na uwekezaji.
"Sisi kama Serikali tutaendelea kutumia
tathmini zilizotolewa na mashirika hayo kuboresha mazingira ya biashara na
uwekezaji hapa nchini na kufikia matarajio ya wafanyabiashara na
wawekezaji," alisema.
No comments:
Post a Comment