Na Grace Ndossa
SERIKALIi mezind u autekelezaji w
aMkakatiwa Matok eoMakubw aSasa (BRN)kat ika sektaya elimuili kui nua kiwango
cha elimukwashulezaMsinginaSekon dari nchini.Kauli hiyo
ilitolewa Dar es Salaamja nanaWazir i waElimuna Mafunz oya Uf undi,Dkt. Shuku
ruKawamb waalip okuwaanazindu mpangohuo wakuleta MatokeoMkubwaSa sakatik ase
ktahiy o
Alisem ase ktay
aeli muni miongoni mw asek tasita zilizochaguliwaka tikamp angohuonaS erikali.
Sektanyingin eniza nish ati ,maji, miondom binu,ki lim onafedha . Se ktah
izozimech aguliwazik iwaniza mw anzokatika kutek eleza m pangoh uoilikule tea
nchi katikamatoke oma ku bwanaya haraka.
A lisemazaidi
yamiaka10se kta yaelimu i mekuwa ikikab iliw anachangamotomba limbaliam
bazozimeathiri u toajiwa elim ubora. Alitaja ch angamoto hizok uwani
uhabawawalimu,uwez omdo gowawalimukuf undishanakujifunzamiu ndomb i nuisiyokid
hi mahitaji ,ma pungu fuka tikau sim amiz iwaelimukat i kangaz iyashule, ufu
atiliaji na tathmini na udhibiti wauboraw as hule.
“Changa
motokubwa iliyoainishwana utam buzi kuwaing awakiwan gochauandikishaji wawan
afunzikim eong ezeka, uborawa el imuume shukana k uporomokakwaufa ulukati
kaelimu ya msingi nasekondari,”alisema Dkt. Kawambw a.
N ayeNa ibu
Waziriw aTawala zaMik oanaSerikal iza Mitaa(TAMI SEMI)KasimuMajali alisemani
vyem a kuwash irikishawadau wa elimu na wananchi ili wachangie maoni yao katika
kuboresha mpango huo.
Katika uzinduzi huo Tamisemina Wizara
ya Elimu walisaini mkataba wa kutekeleza mpango wa matokeo makubwa ya elimu
nchini.
Wa k a t i h u o huo,
Dk t . Kawambwa aliwataka wakaguzi wa shule kufuatilia kutoa ushauri kwa
Mwalimu Mkuu ili kuwezesha kila mtoto kuwa na stadi za kusoma, kuandika na
kuhesabu wamalizapo darasa la pili na kama watashindwa kufanya hivyo
watawajibishwa.
Alisema kuwa watendaji wote wa elimu
wanatakiwa kufuatilia kusimamia na kutoa ushauri kwa Mkuu wa shule katika
kusimamia utekelezaji wa ufundishaji wa mada mbalimbali zilizomo katika
muhtasari wa masomo.
“Maofisa elimu na wakaguzi wa shule wa
Mkoa na Wilaya mtawajibishwa kwa kushindwa kusimamia shule zinazojitokeza
kushindwa kukamilisha mada zilizomo kwenye muhtasari wa masomo husika, hii
itajionesha wazi kwa wanafunzi toka wilaya moja au shule kushindwa kujibu
maswali ya mtihani,”alisema Dkt. Kawambwa.
Alisema kuwa maofisa elimu wa wilaya
wanatakiwa kuhakikisha rasilimali zilizopo za utoaji elimu bora katika
halmashauri zinatumika vizuri kuinua ufaulu ili kufikia malengo yaliyowekwa.
Alisema wanatakiwa
kuwabaini walimu wenye uwezo mdogo wa kufundisha baadhi ya mada na kuwajengea
uwezo wa kuwatumia wakaguzi wa shule na wadau, kuratibu na kuyashughulikia
madai ya walimu yakiwemo upungufu wa nyumba, madeni, madaraja na madai mengine
ya kiutumishi
No comments:
Post a Comment