19 August 2013

VODACOM UFAFANUZI

Mkurugenzi Mtendaji wa Vodacom Tanzania, Bw. Rene Meza, akifafanua jambo, wakati wa mkutano na waandishi wa habari (hawapo pichani), Dar es Salaam jana, kuhusu kukamilika kwa matengenezo ya mtambo wa mawasiliano uliopata hitilafu ya moto na kusababisha tatizo la kutokuwapo kwa mawasiliano kwa wateja wa mtandao huo mwishoni mwa wiki

No comments:

Post a Comment